TDF Swahili

Maono yetu hapa TDF yanahendeshwa na utangazaji wa injili. Kanisa letu litakuwa jamii ya watu ambao watafanya wengine kuwa wafuasi nakuhanzisha familia ya makanisa kwa utukufu wa Mungu.

Tarehe 19 Mai, 2024, TDF ilihanzisha huduma ya kiswahili kwa madhumuni na nia yakutimiza maono hayo. Tunayo furaha kubwa kuwa na huduma ya kiswahili hapa. Huduma hii itasahidia kutambulisha watu kwa Yesu na wafuasi katika mwendo wao na Kristo. Ukitaka kujuwa zaidi kuusu Yesu ni nani, itatupendeza sana kuonana na wewe na kuongea na wewe kihundani zaidi. Itatupendeza sana ukihungana na sisi kwenye ibada letu.

Jumapili saa-1:00pm

On May 19, 2024, TDF launched our new TDF Swahili ministry. Nashville, TN is a growing, diverse city with many cultures and nationalities represented. In our effort to fulfill the Great Commission, we long to make disciples and spread the Gospel of Jesus Christ to as many people as possible. We're excited and honored to serve alongside our Swahili-speaking brothers and sisters to introduce more people to the freedom, purpose and fulfillment that can only be found in Jesus Christ.

Join us for Worship
Sundays - 1:00p

The Donelson Fellowship
Have a question?
Need help finding something?
We look forward to hearing from you.
Fields marked with an * are required